TAZAMA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI GERSON MSIGWA AKICHANJWA CHANJO YA CORONA

2021/08/02 に公開
視聴回数 5,464
0
0
Baada ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kupata chanjo ya uviko 19 na kuizindua rasmi kutumika leo msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa naye amechanja baaada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari