D Voice msanii wa bongo fleva anae fanya vizuri kwa sasa, Ameelezea jinsi alivyo tishiwa maisha, Je? unajua Diamond hamuhofii Harmonize? mustakabali wa zuchu na boss kubwa Je? Msikilize D voice yeye mwenyewe akisimulia kupitia #PlanetBongo ya #eastafricaradio